general

News

view:  full / summary

KWANINI

Posted by lenatus lihawa on May 9, 2011 at 6:37 AM Comments comments (0)

Kwanini watu wanashindwa kuheshimiana kwa jili ya vitu vidogo walivyonavyo ? alwayz hatin dis.......

VIJANA

Posted by lenatus lihawa on May 7, 2011 at 3:06 PM Comments comments (0)

Je? wewe ni kijana unajua umuhimu wako katika taifa lako,hivyo baadilika nakufanya mambo muhimu yakuweza kujenga taifa lako pekee kwa kizazi kijacho.Anza sasa............

OSAMA

Posted by lenatus lihawa on May 7, 2011 at 3:00 PM Comments comments (0)

Wananchi wengi wanawasiwasi juu ya kifo cha OSAMA ,maana wameshindwa kuhakikisha kifo chake mpaka anavyozikwa,hivyo wengi wakiaamini kwamba SADAM HUSSEIN ndio amekufa na sio OSAMA maana SADAM HUSSEIN KIFO chake kilishuhudiwa na watu wengi kitaifa.

KUMEKUCHA

Posted by lenatus lihawa on May 7, 2011 at 2:54 PM Comments comments (1)

Vijana wengi inasemekana kwamba wengi wanapata elimu lakini hawaitumi kabisa,hii imeweza kufanya elimu ni kitu cha kuklemu na sio kuelewa,hivyo hii inasababisha vijana kutofika malengo wanayo ya taka kwa maisha yao.


Rss_feed